msugupendigwite
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 137
- 26
Wtaalam kwema? Jamani nisaidieni nina simu ya samsung galaxy ina tatizo la kuvibrate na kuleta ujumbe unaosema "Kernel don't panic" hapo hadi nitoe betri ndo inaacha kuvibrate, nikiwasha tena mchezo ule ule, nisaidieni jama nifanyeje??