Ninatumia android kwenye smartphone double line ambapo natumia line namba 1( tigo) kuaccess internet plus downloading apps from playstore sasa nawezaje kuongeza line namba 2 ( voda) ili niweze kupata internet sambamba na line namba 1 maana tigo muda mwingi network yao inakuwa down.
naomba kuwasilisha
naomba kuwasilisha