Habari ndugu wana jf,Nashukuru kwa msaada we nu nilifanikiwa kuroot simu yangu aina ya Samsung i8268 sasa nikaenda playstore Ku download ROM manager lakini wanasema "for Samsung user you must...
Haya ndio mambo tunayoitaji Tanzania kwa sasa, sio siasa kila mahali, mala Makonda hafai kuwa DC, Mala nchi haiwezi kuendelea bila CCM, Tunaitaji UBUNIFU, SAYANSI NA TEKINOLOJIA kwa vitendo, ili...
Msaada Msaada kwa ambae amewahi kutumia U.S.P.S International, kusafirisha mzigo ama kifurushi mfano kama CD za software, simu, pc ama kitabu, inachukua mda gani mzigo hadi kufika hapa Tanzania -...
MBC zote sasa ni FTA katika nilesat, kama mtakumbuka vizuri kabla ya ujio wa azam zilikuwa fta lakini azam walipokuja zilitiwa kufuli, juzi azam wanajifanya kupandisha bei eti ili uzipate utalipia...
Ndugu na jamaa unaemiliki blogs zinazohusiana na burudani naomba msaada wa ku-upload wimbo huu hapa http://www.hulkshare.com/mylifejob1/geita-boyz-umaarufu-1
Kwa namna moja ama nyingine...
Kama umetambua mara moja hilo bango hapo juu limetokea blog gani basi waingereza husema "shame on you". Mimi naweza kujitetea kuwa nilikuwa nafanya research kwa ajili ya blog post hii (ahem!)...
Habari zenu wapendwa me naomba kujua jinsi ya kuopen files o documents na jinsi ya ku share o kusand kwa email 📤 microsoft office kwa kutumia android
Natumain Wataalaam Wa Jukwaa Hili Ni Mko Poa,
Naomba Maelekezo Jinsi Ya Kufunga Sacket Mpya Kwenye Tv Ya Sinsung (flat Mbele) Nilivyofunga Mm Naona Inanizingua, Haijazi Kioo.
Nawasilisha
Ofisini ninayofanya kazi tunatumia wifi ya Smile, hivi majuzi wameblock sites mbalimbali ikiwemo youtube;
Hivyo nakuja kwenu wanajamvi. Naomba mwenyekufahamu namna ya ku unblock my PC anisaidie...
nimepitia posyt nyingi humu ndani kwenye forum lakini hamna hata moja niliyoweza kutatua tatizo langu.
(1)Nianze vip ili iweze tambua driver za modem
(2)Nitaziingiza vip ili iweze tambua driver
Nina desktop ya dell ukiiwasha inawaka then wakati naendelea kutumia inaweza kuzima kwenye monitor huku mashine ikiendelea kuwa on hapo hadi niiache tena kma nusu saa hivi ndo inawaka tena...
Siku kadhaa baada ya kupiga marufuku picha za ngono katika blogs zote zinazotumia platform ya blogger (blogs za ngono zapata pigo toka kwa Google), kampuni ya Google imefuta maamuzi hayo.
Katika...