dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,152
Wadau ninafanya configuration d link dap 1360 lakini back end lugha ya kichina. Nataka kubadili lugha ya kichina kuwa kiingereza nifanyeje?
Wadau ninafanya configuration d link dap 1360 lakini back end lugha ya kichina. Nataka kubadili lugha ya kichina kuwa kiingereza nifanyeje?
Weka screenshot pia itatusaidia ku acess hiyo issue....Nilijaribu tumia google translator kubadili page nzima lugha ikaandika deny can't translate simplified Chinese to English. Please give me other alternative cc njunwa wamavoko