Naombeni msaada jinsi ya ku-unlock Huawei E303 Hi-Link

Naombeni msaada jinsi ya ku-unlock Huawei E303 Hi-Link

select5

New Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
1
Reaction score
1
nimepitia posyt nyingi humu ndani kwenye forum lakini hamna hata moja niliyoweza kutatua tatizo langu.

(1)Nianze vip ili iweze tambua driver za modem
(2)Nitaziingiza vip ili iweze tambua driver
 
soma maelezo yake vizuri hizo nimezi unlock nyingi tuu zaidi ya 20, kama ni mtundu kidogo utafanikiwa, ugumu nadhani ni kuweza kusoma zile driver, kumbuka kuweka mobile partiner, na zile two line uzi-paste kule ndani ya yale ma-file ya mobile partiner then kuna ile link ukiingia ndio itasoma port then una update thought the device manager ili uweze kutambua application and interface port, baada ya hapo una update firmware kawaida kama hizi e303 za kawaida.NADHANI NIMEKUPA MWANGA JAPO SIJAPANGILIA VIZURI, BUT KAMA HUA UNA-UNLOCK UTAFANIKIWA, UKIKWAMA NICHEK 0784234391.
 
nimepitia posyt nyingi humu ndani kwenye forum lakini hamna hata moja niliyoweza kutatua tatizo langu.

(1)Nianze vip ili iweze tambua driver za modem
(2)Nitaziingiza vip ili iweze tambua driver
Kama zile ni E303 Hi link za Vodacom ni rahisi sana ku unlock
Tafuta post humu kuna mtu anaitwa gkiwango aliweka link kwenda google docs

Search site: Jamiiforums Jinsi ya ku unlock huawei E303 mpya za vodacom au E303 za Hi link
 
Last edited by a moderator:
nakushauri search google..

coz hii modem ina act kama virtual router hivyo google namna ya kuifanya ionekane kama usb then utaload dashboard ya AIRCEL
 
Back
Top Bottom