Naomba msaada kwa wamiliki wa blogs

Naomba msaada kwa wamiliki wa blogs

UkoowaMagorombe

Senior Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
191
Reaction score
45
Ndugu na jamaa unaemiliki blogs zinazohusiana na burudani naomba msaada wa ku-upload wimbo huu hapa http://www.hulkshare.com/mylifejob1/geita-boyz-umaarufu-1

Kwa namna moja ama nyingine utafaidika kwa ku-upload wimbo huo kwa vile kila atakae uhitaji nitamwelekeza autafuta katika blog yako , hapa nadhani umeshajua ni faida(indirect profit) gani utakayo kuwa unaipata kutokana na vistors watakao tembelea na kuupakua,

Ukiachilia mbali hilo shukrani zangu za pekee zitakufikia na nitakuwa mmoja kati ya agent wako kwa kuitangaza blog yako kwa watu wa eneo nililoko.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwako 'ewe utakae toa msaada wako!
 
Back
Top Bottom