Joel kaigarula
Member
- Jun 3, 2014
- 28
- 16
Siku kadhaa baada ya kupiga marufuku picha za ngono katika blogs zote zinazotumia platform ya blogger (blogs za ngono zapata pigo toka kwa Google), kampuni ya Google imefuta maamuzi hayo.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Google imesema itaendelea na utaratibu ule ule wa kulazimisha blog za kikubwa kuweka geti kama linaloonekana hapo chini, ambalo litamjulisha mtembeleaji kuwa blog anayotaka kuingia ina maudhui tata.
chanzo: http://www.bofyatz.com/2015/03/google-walamba-matapishi-blog-za-ngono.html