Azam wamebug MBC zote sasa ni FTA

Azam wamebug MBC zote sasa ni FTA

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,865
Reaction score
833
MBC zote sasa ni FTA katika nilesat, kama mtakumbuka vizuri kabla ya ujio wa azam zilikuwa fta lakini azam walipokuja zilitiwa kufuli, juzi azam wanajifanya kupandisha bei eti ili uzipate utalipia 20000.

Msisumbuke kulipia hicho kifurushi kikubwa kwa ajili ya MBC. itafute nilesat tu kwyshney 10873 v 27500.

SHIKAMOO FTA.
 
Ilisolokobwe,

Hii Nilesat inapatikana kote Tanzania au ni kwa baadhi ya maeneo?To ufafanuzi ili iwe rahisi kufanya maamumuzi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona maelezo yako hayajakamilika yana umeenda juu juu tu iwe poa zaid kma utatoa utamu wote kw ufasaha.
 
MBC zote sasa ni FTA katika nilesat, kama mtakumbuka vizuri kabla ya ujio wa azam zilikuwa fta lakini azam walipokuja zilitiwa kufuli, juzi azam wanajifanya kupandisha bei eti ili uzipate utalipia 20000.

Msisumbuke kulipia hicho kifurushi kikubwa kwa ajili ya MBC. itafute nilesat tu kwyshney 10873 v 27500.

SHIKAMOO FTA.

Daaaah nyie ndio mnafanyaga tunakosa vitu vitamu,hujui kama azam ndio walibana mwanzo zisionekane? aaaaaah sasa si bora usingewataja azam kwenye heading yako? Wanaume tumeumbwa na siri haikuwa na haja kuleta huku wacha watu wangejua wenyewe kama alivyojua wewe
 
Daaaah nyie ndio mnafanyaga tunakosa vitu vitamu,hujui kama azam ndio walibana mwanzo Zisionekane? aaaaaah sasa si bora usingewataja azam kwenye heading yako? Wanaume tumeumbwa na siri haikuwa na haja kuleta huku wacha watu wangejua wenyewe kama alivyojua wewe

Hapa sikuja kuwataarifu akina azam na huu uzi si kwa ajili ya azam. nimetoa taarifa kwa wanafta, na hata azam wakilijua hilo hawatafanya lolote maana tangu january hizi chanel ilikuwa zichiwe sijui kwa nn zimechelewa. viva fta
 
step by step mkuu naomba maelezo nifanyeje!! tuelekeze in a dummy version, kingamuzi kile kile au ninunue kingine, dishi lilelile au jingine. asante
 
Nilesat inapatikana kwa dish kuanzia ft2 na kuendelea inategemea na mahali ulipo. Mfano mimi huku mara natumia ft3
 
Back
Top Bottom