Msaada namna ya kuunlock blocked sites in wifi

Msaada namna ya kuunlock blocked sites in wifi

FAIR PLAY

Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
54
Reaction score
6
Ofisini ninayofanya kazi tunatumia wifi ya Smile, hivi majuzi wameblock sites mbalimbali ikiwemo youtube;

Hivyo nakuja kwenu wanajamvi. Naomba mwenyekufahamu namna ya ku unblock my PC anisaidie.

High tech to the moon.
 
wameblock sababu munawafilisi, youtube inakula sana data kwa smile unaweza tumia hadi 100,000 za kitanzania au zaidi. usipoangalia gharama ya kampuni ambayo inapoteza kwenye internet unayotumia ikawa kubwa kuliko mshahara unaopata. mi nakushauri its better ukatafuta tu internet yako.

kuhusu ku unlock website basic way ni kubadili url toka http kuwa https. kwa case yako utaandika https://www.youtube.com ikikataa tumia proxy just google youtube proxy zitakuja kibao.
 
Aksante mkuu@Chief Mkwawa.

Ila ukisema tunawafilisi unakosea kwani muda mwingine Youtube tunaitumia kama sehemu ya kazi kwakutizama habari, na demo za mambo mbalimbali.
 
Aksante mkuu@Chief Mkwawa.

Ila ukisema tunawafilisi unakosea kwani muda mwingine Youtube tunaitumia kama sehemu ya kazi kwakutizama habari, na demo za mambo mbalimbali.

ngoja basi nikuelezee zaidi, sheria mpya za youtube jinsi network inavyokuwa na kasi ndio jinsi wanavyokuletea video ya quality kubwa. kwa case yako smile huwenda ukawa unaletewa video ya 2k au 1080p.

hii ni table ya speed na video unayoletewa

Standard quality uploads
Type Video Bitrate Mono Audio Bitrate Stereo Audio Bitrate 5.1 Audio Bitrate
2160p (4k) 35-45 Mbps 128 kbps 384 kbps 512 kbps
1440p (2k) 10 Mbps 128 kbps 384 kbps 512 kbps
1080p 8,000 kbps 128 kbps 384 kbps 512 kbps
720p 5,000 kbps 128 kbps 384 kbps 512 kbps
480p 2,500 kbps 64 kbps 128 kbps 196 kbps
360p 1,000 kbps 64 kbps 128 kbps 196 kbps


High quality uploads for creators with enterprise quality internet connections
Type Video Bitrate Mono Audio Bitrate Stereo Audio Bitrate 5.1 Audio Bitrate
1080p 50,000 kbps 128 kbps 384 kbps 512 kbps
720p 30,000 kbps 128 kbps 384 kbps 512 kbps
480p 15,000 kbps 128 kbps 384 kbps 512 kbps
360p 5,000 kbps 128 kbps 384 kbps 512 kbps

jaribu kumuomba admin wa hio netwrok alimit youtube 360p ili kampuni isave. maana average smile inakula kama 4.5gb kwa kila lisaa youtube
 
Ofisini ninayofanya kazi tunatumia wifi ya Smile, hivi majuzi wameblock sites mbalimbali ikiwemo youtube;

Hivyo nakuja kwenu wanajamvi. Naomba mwenyekufahamu namna ya ku unblock my PC anisaidie.

High tech to the moon.

kwa kutumia smile smile portal unaweza ku block vitu vifuatavyo peke yake...

1. block video ( ina affect youtube pekee)
2. block torrenting (ina block torrent client zote)
3.block cloud storage (ina block cloud storage zote i.e google drive, dropbox etc)
4. block updates ( ina block updates zote ikiwemo antivirus updating, os updating na apps zingine...)


kama hapo kwenu wame disable site zote zenye video basi hawajablock kwa kutumia smile portal bali wameBlock kwenye Router kwa kutumia KEYWORD, ambapo wamezuia URL yoyote yenye neno kama VIDEO, WATCH, LISTEN, MOVIE, MP3, LIVE etc etc....

hivyo basi ili kupata access ya hizo site tumia proxy kama vile www.blockedsiteaccess.com
www.hidemyass.com


ili kujua kama wameblock kwa kutumia smile portal , ukifungua site yenye video ambayo si youtube basi inatakiwa ilete warning ya smile.

kama haileti warning ya smile na bado haifunguki basi amezuia kwa kutumia router zao za huawei kwani kuna router ambazo unaweza kuBlock kwa kutumia keyword.
 
Njia nyingine rahisi ni kutumia Tor browser. Hii hamna itakapogoma. Na uzuri ipo portable haaitaji kuinstal as kama ni pc Za ofic zitakuwa na admn pasword. So download tor browser extract launch. Enjoy
 
Back
Top Bottom