Namna ya kuangalia specification kwenye iPhone

TRUVADA

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
4,539
Reaction score
1,773
Jaman mwenye ujuzi wa namna Ya kuangalia specification kwenye iphone.
 
www.gsmarena.com

Weka model ya simu yako.

Mkuu Kwa nin unanipa link Mim nataka kuangalia moja kwa mojo KWENYE sim yangu kama ilivyo android phone ukienda kwenye setting utaona processor, ram hata na version Ya android iliopo
Mbona kwenye iphone 5.. Huwa sion hiyo option
 
Asante ila sijui jinsi ya kufanya hivyo
 
Mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya iphone na simu zingine haswa za Android tulizozizoea na haswa Samsung

Samsung au tecno tunazo zitumia sana zina utitiri wa matoleo ya simu zao kwa mwaka na ndio maana ili kurahisisha inabidi uweke kila kitu kwenye simu maana zinatofautiana kidogo kwa macho kuanzia simu za juu hadi za chini kabisa

Iphone wao wakitoa simu ni moja tu na inakua inajulikana, sema siku hizi wameanza kutoa mbili mbili

Ukitaka kujua specification za iphone yako unapaswa kujua unatumia iphone gani then nenda ka google au kwenye website yao au link uliyopewa hapo juu

Kwenye simu unaweza kuangalia tu imei, ios na vitu vingine
 
Ok nashukuru sana MKUU kwa maelezo yako Ya kina
 
Back
Top Bottom