Jinsi Ya Kufunga Sacket Mpya Kwenye Singsung

mtu muhimu

Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
55
Reaction score
6
Natumain Wataalaam Wa Jukwaa Hili Ni Mko Poa,
Naomba Maelekezo Jinsi Ya Kufunga Sacket Mpya Kwenye Tv Ya Sinsung (flat Mbele) Nilivyofunga Mm Naona Inanizingua, Haijazi Kioo.
Nawasilisha
 
wapi naweza kupata remote control ya hometheatre aina ya singsung.
 
kwa kawaida inatakiwa ununue saket zile za kuanziz nchi 21.kinyume na hapo unaweza kutumia zile capacitors za brown za kj na resistors inayosoma km 2 hv.
 
Thanks, Unaziweka Wap Ili Itanue Kioo
 
Natumain Wataalaam Wa Jukwaa Hili Ni Mko Poa,
Naomba Maelekezo Jinsi Ya Kufunga Sacket Mpya Kwenye Tv Ya Sinsung (flat Mbele) Nilivyofunga Mm Naona Inanizingua, Haijazi Kioo.
Nawasilisha

leo wakuu naona wapo busy, cjui ntapata wap msaada
 
Back
Top Bottom