Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

wakuu, nisaidieni jinsi ya kupata chanel ya mtv na chanel yoyote ya muvi kupitie sat ya ku eurobird 1.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba nisaidiwe jinsi ya kusave video kutoka facebook kwenda Kwenye sim. Sim Yang Ni huawei Y300.
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Nimetengeneza application mpya ya android mobiles kuanzia version 4.0... Naomba mawazo yenu kipi cha kuongeza kwa nilipofikia.. link hiyo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wandugu mwenzenu nimeumbuka, nahitaji msaada au nini cha kufanya. Bado sijawa deep na Wordpress lakini clients wengi nilionao sasahivi wanataka site zao ziwe kwa Wordpressfor for CMS stuff. Sasa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habar. Nimepata tatizo hapa linaniumiza kichwa..nilikua naweka partion mpya kweny laptop yngu yenye window 8.1. kwa kutumia AOMEI assistant.sasa baada ya kujiprocess nikakuta pc inaleta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba msaada laptop yangu aina ya TOSHIBA satellite ilzima gafla,nikiwa naangalia muvie,nilivyoiwasha taa ya power inawaka,na fan inafanya kazi ila screeni ni nyeusi,nifanyeje jamani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuuliza hawa jamaa wanaotengeneza video za music huwa wanatumia software zipi kwa editing na production? Nawasilisha....
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari zenu wana jamvi, Nnaombeni mnisaidie nimitengeneza website yangu kwenye notepad kwenye sula la kuhost ndio majanga yenyewe hivi ni hosters gani wana host freeee? Jamani naombeni mnisaidie...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Wana jukwaa natafuta common interface kwa ajili ya TV yangu kwa jijini DSM nitapata wapi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naweza pata application ya kuhesabu umbali i.e km kwny android ninapokuwa nafanya mazoezi ya jogging. Msaada pls kwa anaefahamu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua jinsi navyoweza kuwaka matangazo kwenye blog yangu. Naomba anisaidie na huo ujuzi.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nina kiaidia mshenzi ambacho nataka kukifanya. Lakini sina ujanja na software development hivyo namsaka mwenye ujuzi huo. Tafadhali kama una ujuzi wa software development na una experience...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana jf natumia simu aina ya huawei ascending y300 nili root na kuweka custom ROM ya slimkat sasa nimedownload whatsapp kwenye play store baada ya Ku install ikanambia kwamba slimkatrom...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada nawezaje kununua Apps za Android zinazouzwa? Card ya bank niliyonayo ni ya NMB tu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mdogo wangu kachezea simu yake ya nokia E5 kwenye phone security code Amesahau namba alizoingiza na simu imejifunga kila akitaka kufanya chochote simu inadai security code Naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WanaJf nimetafuta mtandaoni bila mafanikio, yeyote mwenye uzoefu na kazi za vitambulisho nahitaji msaada wako!!
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Waheshimiwa natumia Samsung Galaxy s4 naomba mnifahamishe namna ya kusign out kwenye account yangu ya Gmail maana sioni kitufe cha sign out kabisa Je nifanyeje? msaada...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wabari wakuu Simu yangu ni Samsung S advance GT-I9070,android version yake ni 2.3.6 lakini nataka kui-upgrade mpaka android version 4.2. Je,natakiwa nifanyaje ili ni upgrade na kuna madhara...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Msaada wenu tafadhali wataalamu,simu hii ilikuwa inasapoti whatsapp,lakini nilipoirestore ikawa nikitaka kuidownload inagoma na inasema muda sio sahihi, hivyo niurekebishe kwanza,lakini hata...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Samahanini wajuvi wa simu. Hivi kuna namna yoyote ya kuongeza sauti(media player)kwenye simu ya android.kwa maana ya application inayoweza kuboost sauti ikawa juu.tofauti na ya simu husika...
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…