Maujanja kwenye simu yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ณ๐—ผ๐—ป๐˜๐˜€ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Kama ulikua hujui ni muhimu kubadilisha badilisha fonts ya kwenye simu yako ili kuifanya ya kuvutia Zaidi, fonts inasababisha simu kuwa na muonekano wa kipeke sana.

Leo nakujuza jinsi ya kubadili fonts kwenye simu yako ya Samsung, Infinix, Tecno, OnePlus, Iphone nk.

1) Samsung Galaxy
Kama unahitaji kubadilisha fonts kwenye simu yako ya Samsung fanya hivi ingia setting>> display>> shuka chini utaona fonts size utaweza kubonyeza sehemu ya kudownload na kubadilisha fonts upendavyo tafuta fonts ya Rosemary Iko poa sana.

2) Infinix
Kama unahitaji kubadilisha fonts kwenye simu yako nzima ingia kwenye xthemes >> tafuta discovery>> fonts >> utachagua fonts Kali upendayo nzuri Zaidi weka belly , Goth nk ziko poa

3) iphone
Sio rahisi kubadilisha fonts kwenye iphone ila unaweza kuingia setting kwenye iphone>>General>> fonts utaweza kuchagua fonts style unayotaka taka na kuiweka kwenye simu yako nzuri Zaidi ni SF pro.

4) OnePlus
Kwenye OnePlus ingia setting >personalization > fonts & display size >> more >> utaona chagua meet once Iko poa unaweza chagua nyingine Zaidi.

5) Tecno
Kama unatumia tecno fungua program ya hi theme >> discovery>>font>> utachagua fonts unayoipenda kwa kupakua na kubadilisha muonekano wa simu yako.

6) Huawei
Kwenye Huawei yako ingia setting Kisha display>>utaona fonts style & font size utaweza kuchagua fonts unazopenda kwenye simu yako na kuibadilisha.

7) Google pixel
Ingia setting kisha font style & wallpaper alafu chagua Custom Kisha chagua fonts unayotaka kubadilisha

Kwenye simu yoyote sasa kama unahitaji kubadilisha fonts kwa watumiaji wa android ingia setting Kisha displays au personalization utaona fonts size & font style chagua fonts unayotaka kupendezesha simu yako.

Ebu tuambie umeshawahi kubadilisha fonts kwenye simu yako toka ununue au lah pia unapenda fonts gani Zaidi tuachie maoni yako?
 
Mi natumia samsung ila nikitaka kubadilisha font inadai samsung account cha ajabu nikiingiza samsung account inagoma sasa sijui shida nin?
 
8. Xiaomi
Ingia kwenye Theme app halafu search "Fonts"
Zitakuja chache, tap walipoandika MORE
Zitakuja nyingi zaidi, chagua moja kisha udownload hiyo font, nyingi ni less than 1MB
Ukidownload then tap Apply
mbona haziji hata moja
 
๐—๐—ถ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ณ๐—ผ๐—ป๐˜๐˜€ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

Kama ulikua hujui ni muhimu kubadilisha badilisha fonts ya kwenye simu yako ili kuifanya ya kuvutia Zaidi, fonts inasababisha simu kuwa na muonekano wa kipeke sana.

Leo nakujuza jinsi ya kubadili fonts kwenye simu yako ya Samsung, Infinix, Tecno, OnePlus, Iphone nk.

Salute mkuu umeupiga mwingi zaidi ya Mama Samiah
 
Back
Top Bottom