Fourier
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 218
- 76
Habari Wakuu...
Weekend Hii Ya Pasaka Kwangu Haikwenda Sawaa Kabisa Kutokana Na Mtu Wangu Wa Karibu Mmoja Kuniibia Ipad Iliyokuwa iOS 8 Nafikiri Ndani... Nasema Wa Karibu Kwa Sababu Imeibiwa Kwenye Mazingira Ya Kutatanisha.
Ilikuwa Ni Mpya Hivyo Sikuweza Sana Kujua Security Features Ikiwemo iFind My Ipad. Lakini Kabla Haijaibiwa Niliweza Kudownload VLC Tuu Na Nilijiunga Na Apple ID, Lakini Siku'Log IN Kwenye iCloud...
Msaada Tafadhali Kwa Yeyote Mwenye Uelewa Na Haya Mambo Tafadhali....
Asanteni....