Msaada wa connection ya Zantel Modem kwa Ubuntu 10.04 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa connection ya Zantel Modem kwa Ubuntu 10.04

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by JoJiPoJi, Nov 19, 2010.

 1. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,477
  Likes Received: 1,443
  Trophy Points: 280
  Wandugu salaam,
  Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia Ubuntu as my OS, sasa napata shida ya kukonect na modem ya zantel ambayo ilikuwa inafanya kazi bila shida kwa os nyingine, bila shaka kuna wadau ambao wanatumia hii os na watakuwa wanajua how to config this.
  Msaada tafadhari ili niweze kurudi mtandaoni.

  JoJiPoJi
   
 2. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Joji......kuna njia mbili za kuunganisha modem ya zantel kwenye ubuntu.

  1. tumia mobile broadband ya ubuntu:
  a .right click the network link kwenye system bar hapo juu....halafu click edit connections
  b. nenda kweny tab ya mobile broadband, halafu click add connection
  c. ipe jina lolote, kwa mfano Zantel.....halafu kwenye vibox hapo chini weka: kwenye number weka #777 kwenye username weka @zantel.com halafu kwenye password weka kitu chochote....mi nimeweka @zantel.com halafu basi
  d. chomeka modem, baada ya sekunde kadhaa click connect mobile broadband kwenye network menu hapo

  itafanya kazi......ikikataa,

  2. njia nyingine ni kutumia wvdial
  a. kama huna, kitu cha kwanza ni kuinstall wvdial.....hehehe, sasa hapa itabidi utumie cable internet au wireless ili uweze kuinstall wvidal (sudo apt-get install wvdial)
  b. ukishainstall ingiza modem halafu type wvdialconf /etc/wvdia.conf
  c. hiyo itadetect modem yako halafu ikimaliza kukoconnect kwenye internet andika sudo wvidial


  All the BEST
   
 3. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,477
  Likes Received: 1,443
  Trophy Points: 280
  ahSAnte mkuu, nimejaribu hii ya kwanza ila imekataa na tatizo hapo nilipo siwezi pata cable connection, vp hakuna njia nyingine inayoweza kusaidia
   
 4. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2010
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  tafuta wireless internet ujaribu tena.....otherwise niambie ilivyokataa imetoa errors gani?

  pia niambie PPP settings zako zikoje......ukienda kwenye edit connection halafu ukaselect ila mobile broadband ya zantel, ukiedit kuna tab moja inasema PPP settings, niambie vitu gani vimetick na vipi havija tick....inavyotakiwa kuwa ni:

  a. allow BSD....
  b. allow Deflate data....
  c. use TCP header.....

  vingine vyoote inabidi visiwe checked.....check hivyo vitatu tu!

  then jaribu tena halafu niambie.
   
 5. R

  Retreat JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kaka mi imeniletea matokeo haya hapa chini

  george@george-laptop:~$ wvdialconf
  Editing `/etc/wvdial.conf'.

  Scanning your serial ports for a modem.

  Modem Port Scan<*1>: S0 S1 S2 S3


  Sorry, no modem was detected! Is it in use by another program?
  Did you configure it properly with setserial?

  Please read the FAQ at nit.ca

  If you still have problems, send mail to <wvdial-list@lists.nit.ca>.
  george@george-laptop:~$ wvdialconf
  Editing `/etc/wvdial.conf'.

  Scanning your serial ports for a modem.

  Modem Port Scan<*1>: S0 S1 S2 S3


  Sorry, no modem was detected! Is it in use by another program?
  Did you configure it properly with setserial?

  Please read the FAQ at nit.ca

  If you still have problems, send mail to <wvdial-list@lists.nit.ca>.
  george@george-laptop:~$ ^C
  george@george-laptop:~$


  What to do next, maana modem nachomeka lakini haidetect.
   
 6. moulaa

  moulaa Member

  #6
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ubuntu 10.04 inasumbua kdogo ila ubuntu 10.10 nzuri sana,,, fanya hvi click pale kwenye system then preferences halafu click network connections kitatokea kbox kna option nyingi we nenda kwenye mobile broadband click sehem iliyoandikwa Add.. sasa hapo utafuata maelekezo unavyotaka iwe.... ikishindikana nenda internet cafe omba cable... na hapo ikishindikana tafuta ubuntu 10.10....
   
 7. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Joji,
  tumia same procedure za chifunanga lakini jaza nchi, jina la mtandao basi. Vingine acha default. Search post moja ya ubuntu alianzisha jaluo_nyeupe nimeweka maelezo comprehensive kidogo.

  I'll be back once on PC
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2015
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Njia ya Chifunanga hapo juu imefaa kwenye Ubuntu 14.04.

  Nimefanya ifuatavyo:
  Open Terminal and do the following,
  PHP:
  sudo -i
  apt
  -get install wvdial

  Chomeka modem kwenye laptop halafu run,
  PHP:
  wvdialconf /etc/wvdial.conf

  Edit "/etc/wvdial.conf" file
  Mahali penye "Phone", "Username" na "Password" pajazwe information kama hivi:
  Phone = 0775225441
  Username = @zantel.com
  Password = 225441

  Ondoa semicolons (kama zipo) zilizotangulia kwenye mistari yenye hayo maneno matatu.

  Press Ctrl + d kwenye terminal au fungua terminal nyingine na uandike,
  PHP:
  sudo wvdial
  And press enter

  "sudo wvdial" ni command ya ku-connect kwenye Internet kupitia modem.
  To disconnect press Ctrl + c au chomoa modem.


  NOTICE: Namba 0775225441 hapo juu ni ya kubuni.
   
Loading...