PITIA HAPA! Kuhusu "ChinaPost Reg AirMail"... Wenzangu wa ebay

Proud Patriot

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
224
10
Hivi jamani naomba kuuliza ,
1. Kuna mtu ashawahi tumiwa mzigo wake kupitia hii chinapost na UKAFIKA?
2. Na ulipofika huo mzigo wake alijuaje? Sababu mara nyingi hawatoi tracking number..
3. Na je,wanapost to P.o Box?
Na je kama mzigo ukifika unachukulia WAPI?
4. Na je hapo unapochukulia unaeza enda query kuhusu mzigo wako bila tracking number?

Please mwenye uzoefu na hawa ChinaPost atupe mwanga. Sababu sellers wengi sana ebay wanatumia njia hii na ni magumashi matupu,kila siku nafungua disputes tu!
 
Yaani i tried kama mara TANO hivi, sipati kitu. Ila DHL fastaa, sa nsije onekana fraudster bure kila siku item not received.
 
Hivi jamani naomba kuuliza ,
1. Kuna mtu ashawahi tumiwa mzigo wake kupitia hii chinapost na UKAFIKA?
2. Na ulipofika huo mzigo wake alijuaje? Sababu mara nyingi hawatoi tracking number..
3. Na je,wanapost to P.o Box?
Na je kama mzigo ukifika unachukulia WAPI?
4. Na je hapo unapochukulia unaeza enda query kuhusu mzigo wako bila tracking number?

Please mwenye uzoefu na hawa ChinaPost atupe mwanga. Sababu sellers wengi sana ebay wanatumia njia hii na ni magumashi matupu,kila siku nafungua disputes tu!

China post huwa hawatoi track # mara nyingi
Ni slowest courier I ever met
It takes 40days atmost mzigo kukufikia
Hii inatuma kwa njia ya posta wakati mwingine bila track # hivo after 30-40days lazima uwe unachungulia kuona kama umefika...
Kama hauwezi hii usinunue mzigo kutoka china
 
Back
Top Bottom