wadau niaje polen na majukumu sasa hebu tusaidiane hapa kidogo.Nina moderm ya voda vip kuna maujanja yoyote hapa tufanye ili itumie lain zote plz kama kuna maujanja tupeane wakuu ahsanteni sana
Pole sana mkuu hamna Public Free trick ya ku unlock hiyo modem mpaka sasamodel K3772-Z
IMEI(866055013325151)
Mkuu sijui ntakusaidia nn maana nshakueleza hamna Free trick ya kuichakachua hiyo modem,Yaani we jua mm ni mwenzako nilinunua hiyo Modem kwa target fulani maana PC yangu ilikua haidetect modem za Huawei nkijua ntaichakachua tena Free kufika nayo home nilijuta I seenjunwa msaada plz nakutegemea mkuu nichekie.manufacture ni
ZTE
Mkuu sijui ntakusaidia nn maana nshakueleza hamna Free trick ya kuichakachua hiyo modem,Yaani we jua mm ni mwenzako nilinunua hiyo Modem kwa target fulani maana PC yangu ilikua haidetect modem za Huawei nkijua ntaichakachua tena Free kufika nayo home nilijuta I see
Nilichofanya niliamua kuwalipa 7£ DC Unlocker waichakachue.
Kwa hiyo bei siwezi kukushauri labda uwe pure economist; ni bora ukanunue Modem ya Tigo afu ufate thread ya mwl RCT uichakachue na Downlink speed yake ipo juu zaidi 14Mbps mara mbili zaidi ya hiyo ya Vodacom
mkuu hapo umeniacha kidogo hapo kwenye speed nitaijua vip sasa kwamba hii ina speed fulani plz tupeane maujuzi ndugu maana inabid nikanunue mpya sasa
Capacity ya modem kwenye Downlink(D/L) na Uplink inakua imeandikwa kwenye Box,modem wanazouza Airtel na Vodacom speed zake ni D/L 7.2Mbps wakati Zantel ni 21Mbps(HSPA+) na Modem mpya za Tigo ni 14MbpsFanya mambo mkuu coz wengi wetu hatuna uelewa juu ya hilo suala la speed za moderm plz tusaidiane
mkuu Za zantel zinachakachulika?Capacity ya modem kwenye Downlink(D/L) na Uplink inakua imeandikwa kwenye Box,modem wanazouza Airtel na Vodacom speed zake ni D/L 7.2Mbps wakati Zantel ni 21Mbps(HSPA+) na Modem mpya za Tigo ni 14Mbps
Yote unayakuta kwenye box lakini kuna njia ya kutumia Control Panel modem ikiwa connected ukabonyeza ile icon ya Network kwenye Task Bar
Note kwamba hizi modem zinaweza zisiwe na tofauti na modem za kawaida(7.2Mbps) kutegemea eneo ulipo....
Ila kwa wakazi wa DSM mitandao mingi inatumia Enhenced 3G hivo kwa wale heavy Downloaders wanaweza ku peak mpaka speed isiyo ya kawaida e.g Mm kwa Airtel naweza ku peak mpaka 16Mbps sawa na transfer rate ya 2MB/sec(Speed hauwezi ifikia iwapo unatumia 7.2Mbps modem)
Soma kwa makini usi misinterpret
wadau niaje polen na majukumu sasa hebu tusaidiane hapa kidogo.Nina moderm ya voda vip kuna maujanja yoyote hapa tufanye ili itumie lain zote plz kama kuna maujanja tupeane wakuu ahsanteni sana
3MB/sec ni very unlikely ufike personally nimewai fika ila with more advanced modem with up to 100Mbps with 4G metwork na up to 42Mbps with 3G network...so inamaana kwa upekuzi wa haraka hiyo ya zantel ipo juu aproximated 3MB/S,sasa je inachakachulika??@Na More Drama
Ungetoa kwanz ushaur afu ndo ungemkosoa...= modem
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ungetoa kwanz ushaur afu ndo ungemkosoa...