Habarizi za leo?
Jamani naomba kuulizia ni wapi kuna maduka mazuri ya vifaa vya umeme original sio mchina Dar es Salaam na pia naomba kujua labda gharama ya vifaa vya umeme kwa makadirio kwenye...
Habari zenu wakuu!?
nna Tv yangu ya samsung inch 24 ambayo kwa bahati mbaya nli iangusha chini, sasa imepasuka kioo! kwahyo nlikua naomba msaada wa kufaham kama inatengenezeka, na pia gharama za...
Nimenunua TV ya Samsung Flat nimeona kwa nyuma kuna sehemu ya kuweka kadi (built in king'amuzi). Swali langu je naweza kuweka kadi za ving'amuzi vya hapa TZ kama Startimes, Azam, Zuku n.k direct...
Kila siku watu walikuwa wakitafuta apps lock kwa ajili ya kuficha chats zao n.k!
Habari njema kwa watumiaji wa whatsapp+ sasa unaweza kuhide chat zako pia chat vonversation na mtu hasiwezs...
Huwa naona watu wanaweka hapa JF avatar(profile)\ zinazo zinazo cheza cheza hivyo kama kuna mtaalam wa hivyo vitu anipe maujuzii :msela::msela::msela::msela:
1. Google: Larry Page & Sergey Brin
2. Facebook: Mark Zuckerberg
3. Yahoo: David Filo & Jerry Yang
4. Twitter: Jack Dorsey & Dick Costolo
5. Internet: Tim Berners Lee
6. Linkdin: Reid...
Habari wakuu, nina iphone 5s haisupport code so siwezi kuweka vocha wala kuingia Tigopesa, kama kuna njia yoyote ya kufix hii inshu naomba msaada tafadhali.
Habari JF,
Natumia simu tajwa hapo juu. Tatizo linakuja nikitaka kudownload apps playstore inaandika" there is insufficient space in the divice" Naomba msaada kwa anayejua anisaidie nifanye nini...
Habari, mimi napatikana kahama shinyanga nimenunua king'amuzi cha startimes mwezi uliopita 03/2015. Kwa promotion ya sh. 39000, nikapewa ofa ya kifurushi cha sh. 10000 kwa miezi mitatu. Tatizo...
Samahani waungwa, natumia simu TECNO H5 toka wiki iliyopita kila nikibadilisha Berti au kutoa line nikiirudisha inakuwa haionyeshi majina na SMS mpaka kesho yake ndo inaonyesha, kwenye SMS...
Samahani waungwa.natumia simu TECNO H5 toka wiki iliyopita kila nikibadilisha Berti au kutoa line nikiirudisha inakuwa haionyeshi majina na SMS mpaka kesho yake ndo inaonyesha,kwenye SMS hivi...
Habari zenu wana JF,
Mwenzenu nashindwa kabisa kuutendea haki ulimwengu wa digital maana Laptop yangu ya DELL LATITUDE E4300 inakuwa ina inastack na unakuwa huwezi fanya lolote zaidi na hata...
Wapendwa wataalamu, hamjambo wote?
Naomba kujulishwa mtindo na namna ya kutuma namba zangu za simu ya mkononi nje ya nchi ili mtu
huyo anipigie. Mathlani namba zangu ni 0759820395, je, nizitume...
Mimi sio mtaalamu wa mambo haya ila through hili jukwaa kidogo naelewa vingi sasa kuna hili bado sijalijua naombeni msaada
Mtaani utakuta matangazo mengi ya mtu akiwa anafanya kazi za kuweka na...
msaada jamani.....habari wakuu ni wiki sasa tangu tatizo hili litokee yani nimipost habari mpya adsense zinaonekana thn baada ya dk 5 zinapotea napost habari za kawaida no adult content