Naomba ushauri kuhusu hii Samsung TV

Naomba ushauri kuhusu hii Samsung TV

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,650
Reaction score
21,520
Nimenunua TV ya Samsung Flat nimeona kwa nyuma kuna sehemu ya kuweka kadi (built in king'amuzi). Swali langu je naweza kuweka kadi za ving'amuzi vya hapa TZ kama Startimes, Azam, Zuku n.k direct kwenye TV bila ya kuwa na decorder zao? nilijaribu kuweka kadi ya startimes ikagoma
 
Taaluma makini ilipaswa kuitafta hapo hapo kwa seller, ndio udadisi kabla ya kufanya manunuzi. Wa kifaa hicho .
 
Series/model gani? Weka hapa model number nkuchekie isijekua singsung ya mchina
 
Mmmmmh hiyo naisikia kwako navyojua samsung builty in kingamuz hazina mfumo wa card mkuu leta picha na model yake
 
Nenda startimes watakutengenezea kadi mkuu hyo kadi haiwezi kukubali hizo tv hata digitek wanazo
 
Back
Top Bottom