Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
Huwa naona watu wanaweka hapa JF avatar(profile)\ zinazo zinazo cheza cheza hivyo kama kuna mtaalam wa hivyo vitu anipe maujuzii :msela::msela::msela::msela:
huwa naona watu wanaweka hapa JF avatar(profile)\ zinazo zinazo cheza cheza hivyo kama kuna mtaalam wa hivyo vitu anipe maujuzii :msela::msela::msela::msela:
Una tsh ngapi? otherwise nenda YouTube, na kwenyewe utalipia bundle a ha ha haaa!
Is that your best answer comrade?