Habari zenu wakuu!?
nna Tv yangu ya samsung inch 24 ambayo kwa bahati mbaya nli iangusha chini, sasa imepasuka kioo! kwahyo nlikua naomba msaada wa kufaham kama inatengenezeka, na pia gharama za matengenezo zina range kuanzia kiasi gani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.