Nahitaji kuweka Window 10

Nahitaji kuweka Window 10

mike318

Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
50
Reaction score
2
mwenye setup za window 10 aniwekee kwenye laptop yangu,nna elfu10
 
ninayo windows 10 iko poa na keys zake nicheki 0784234391
 
Kaka windows 10 bado ni preview ina bugs nyingi huenda hata isifianye mambo mengine kwenye PC yako.

Tafuta mtu anaejua kufanya dual boot akuekee windows 10 na 7 pamoja ili ukikwamba 10 uwe mayo 7
 
Madhara ya kutumia preview ni yapi mkuu.

Windows inatumiwa na watu na makampuni makubwa. Wakisema preview ina maana windows haijakamilika ila wanataka uione walipofikia ili uwape feedback wapi wajirekebishe, wapi pazuri na wapi waongeze.

Hivyo kwenye preview kunakuwa na matatizo ya hapa na pale hadi final version itoke
 
Shukrani mkuu chief, je ukiwa unatumia preview na final version ikatoka ,unafanyaje kupata final,je kuna link ya ku-update preview au unapiga chini preview na kuweka fina version?
 
Kaka windows 10 bado ni preview ina bugs nyingi huenda hata isifianye mambo mengine kwenye PC yako.

Tafuta mtu anaejua kufanya dual boot akuekee windows 10 na 7 pamoja ili ukikwamba 10 uwe mayo 7

Shukrani mkuu kwa kunifahamisha,kumbe bado ni preview
 
Shukrani mkuu chief, je ukiwa unatumia preview na final version ikatoka ,unafanyaje kupata final,je kuna link ya ku-update preview au unapiga chini preview na kuweka fina version?

Hii preview Una update tu. Kila build mpya ikitoka Una update. Final version itakuwa bure kama Una key ya windows. Ina maana uki update hadi final version utaeka key yako ya win 7 au 8 then itakuwa full.
 
Back
Top Bottom