Msaada: Simu ina jicharge yenyewe

Msaada: Simu ina jicharge yenyewe

princess J

Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
94
Reaction score
15
Salamu wakuu,
Simu yangu inajicharge yenyewe but in reality inanimalizia charge,tatizo litakua nini mwenye kujua pls.
 
Salamu wakuu,
Simu yangu inajicharge yenyewe but in reality inanimalizia charge,tatizo litakua nini mwenye kujua pls.

Battery na short, yani ukiangalia ni kama ni kama vile umeweka kwenye chaji lakini kiuhalisia haichaji bali inakula chaji, tafuta fundi haraka itakuja kukulipukia
 
Back
Top Bottom