Uncertainty
Member
- Jan 23, 2012
- 70
- 27
Habari zenu wana JF,
Mwenzenu nashindwa kabisa kuutendea haki ulimwengu wa digital maana Laptop yangu ya DELL LATITUDE E4300 inakuwa ina inastack na unakuwa huwezi fanya lolote zaidi na hata kushindwa kurun program yoyote kwa wakati, tatizo ni nini kwa wataalam na wale waliowahi kupata tatizo kama hili msaada tafadhali.