Msaada Huawei 530 Inagoma kudownload

Msaada Huawei 530 Inagoma kudownload

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
Habari JF,
Natumia simu tajwa hapo juu. Tatizo linakuja nikitaka kudownload apps playstore inaandika" there is insufficient space in the divice" Naomba msaada kwa anayejua anisaidie nifanye nini?
Pia nimeshajaribu kuhamisha storage toka internal storage kwenda sd card ila imeshindikana.
Nimejaribu kuhamisha baadhi ya apps toka internal kupeleka kwenye sd card maana space iliyobaki kwenye simu ni ndogo inakataa inaandika couldn't move app.

Naomba msaada, Natanguliza shukrani
 
Mkuu hiyo simu itakutesa sana. Mimi ninayo huawei 510 yaani ni shida. Kwanza inapata moto sana wakati nikichat, pili network yake inasumbua sana, na tatu haidownload chochote, itupe tu ukanunue nyingine mkuu
 
Mkuu hiyo simu itakutesa sana. Mimi ninayo huawei 510 yaani ni shida. Kwanza inapata moto sana wakati nikichat, pili network yake inasumbua sana, na tatu haidownload chochote, itupe tu ukanunue nyingine mkuu

Sawa nitaitupa nimekusikia.
 
kaka hapo cha muhimu ni kuhamisha media zote kama picha, miziki na video ziende kwenye memory card.

mara nyingi video ndio huchukua space kubwa kuliko apps
 
fanya hivi,itakusaidia mm yangu ilizngua kama ivyo,lkn baadae ikapga mzigo baada ya kufanya hivi
http://m.youtube.com/watch?v=f_peC4bN0E4
http://m.youtube.com/watch?v=mNfTOwX_yK0&itct=CBEQpDAYBiITCJ_e1bCU-MQCFcKTHAod5lgAEzIHcmVsYXRlZEjOoLe2uMGX_X8%3D&hl=en&gl=US&client=mv-google

Feeback muhimu.
 
Back
Top Bottom