Nina simu yangu aina ya iphone 4, inakamata mtandao nikiwa sehemu zenye mnala wa lain husika... Naomba msaada kama kuna mtu anajua tatizo laweza kuwa ni nn... 😿🙏🙏
Au kama kuna kitu kinahitajika nibadilishe ili niweze pata mtandao sehemu zote kama zamani...
Au kama kuna kitu kinahitajika nibadilishe ili niweze pata mtandao sehemu zote kama zamani...