Msaada please

Msaada please

Zantel university offer.??
Hii ndo naickia kwako...
Najua kuna University offer ya tigo..voda na airtel...ya zantel cjawah ickia..
 
Mkuu Fareal hiyo ya Airtel unajiungaje. NEWNytemare kwa tigo unajiunga hivi *148*01*20#
Ya voda unapiga *149*02# then select University prom
 
Last edited by a moderator:
Zantel university offer.??
Hii ndo naickia kwako...
Najua kuna University offer ya tigo..voda na airtel...ya zantel cjawah ickia..

Mkuu hiyo ya airtel unajiungeje?
 
Airtel nunua vocha zimeandikwa uni.. Ukijiunga kwa kupitia *149*81# unapewa mb 70 badala ya Gb 1
 
Airtel nunua vocha zimeandikwa uni.. Ukijiunga kwa kupitia *149*81# unapewa mb 70 badala ya Gb 1
Kwahiyo vocha zile za kawaida ndio zinakupa hiyo GB 1 ??
 
Back
Top Bottom