Uzuri
-kama walivyosema wadau ni durable na design ya kisasa na specs ambazo bado ni za kisasa.
-camera yake ni average si mbaya si nzuri ila kwa bei yake ni ngumu kupata camera nzuri kama hio kwa bei yake
Ubaya
Utaishia jelly bean, hutapata updates za mbele na htc simu zao utengenezaji wake ni mgumu.
Bei around laki 3 inaweza pia pungua zaid ya hapo
Mkuu mkwawa nakuaminia kwa vitu kama hivi asante sana.kuhusu kamera mbona kuna simu za tecno siku hizi wame advance sana,vipi hawa htc kamera zao zipo chini ya kiwango cha ubora wa tecno?
Hii ni simu ya 2012 hivyo sitashangaa tecno ya 2015 kuishinda htc ya 2012.
Ila sababu iliwahi kuwa flagship huwenda ikawa bora kuliko tecno. Ila nairecomend hii kushinda tecno yoyote kama ni mtunzaji simu