Raaj
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 205
- 29
Habari ndugu wana jf baada ya kujipanga kwa muda mrefu hatimaye nimefanikiwa kununua laptop kutokana na ukosefu wa umeme nataka kununua betri ya gari na inverter halafu natumia kama source of energy je hii haiwezi kuharibu laptop yangu? Je umeme huo unaweza kutosheleza?