Msaada.Android kupata moto haraka..

Msaada.Android kupata moto haraka..

Hiyo inamaanisha Transistors katika cpu ya phone yako zinakuwa oN kwa muda mrefu ,hazipati muda wa kupumzika kutokana na kwamba kazi ni nyingi. Hii inatokana na process za apps ulizioinstall kwenye simu yako. jaribu kufuta app ambazo hazina umuhimu
 
Back
Top Bottom