Wakuu habar! Nahitaji kufaham kama hii vodafone vf685 naweza kui root! Maanake nimejaribu one click, framaroot na towelroot bila mafanikio..nawasilisha
Kama ulipata msongo wa mawazo baada ya ogwhatsapp kuwa ya developer kushindwa kuendelea kufanya mautundu yao, kaja tena huyu app anaitwa whatsFapp anakuwezesha kutumia namba tatu za whatsapp...
Nataka tu kufahamu kama mtu akibadili laini, je TCRA au mtandao wa simu kama Vodacom, Tigo, Airtel wanaweza kujua location yako...I mean umenunua laini mpya na ukasajili jina tofauti lakini simu...
Nina simu yangu aina ya brackberry q 10 imeziba ghafla ikiwa kwenye charge fundi wa hapa mtaani kaingalia tu kasema hii haiwezekani, msaada anaejua fundi wa simu hizi anijulishe nipo dar es salaam
Habari wakuu nadhani baadhi yetu tunaijua ogwhatsapp kam mbadala wa kutuwezesha kutumia namba mbili kwenye simu moja...
Naona toka majuzi imekua ikitoa notifications za ita expire baada ya siku...
Je Unamfahamu huyo Jamaa?
Yeye anajiita ChuraJasusi.
Wacha nielezee tabia za Huyu Jamaa.
TABIA
1.ChuraJasusi anapenda sana Microsoft os kama windows xp, windows 7 na 8...
Ivi hii habari ni kweli jamani?
Did you hear about new Apple Store? They have a promotion where you could win an iPhone6! Visit their award centre website -->>...
Habarini ndugu , ningependa kujua kama kuna mtu yeyote anaprovide hii service au kama unamjua mtu yoyote naomba tafadhali unisaidie, nahitaji hii huduma
Ahsanteni , na siku njema
Wakuu poleni na majukumu
Shida ni kwamba natumia galaxy s4 gt i9505 jana nikawa najaribu kuingiza apps za kuroot simu yangu ila sikufanikiwa sasa leo asubuh naamka na sim ilikua on nakuta volume...
I need your hell guys my laptop is Toshiba has window 8 so I need to activate it, I already have an activator the issue is coming in the product keys of an activator
Can you help me to have that...
Msaada wakuu laptop haina sauti, kwenye icon ya voice imeweka red X.nmejaribu Ku update drivers bado..ila pia nikijaribu kuangalia device manager sioni driver yoyote ya Sauti.
laptop ni Toshiba...
Wakuu,Naombeni ushauri ,nimetengeneza mtandao wa kijamii wenye mazingira mbalimbali kama vile,Habari kwa ujumla,forum,Mtandao na Link ya ajira,Ikiwa kama ni wataalamu naombeni ushauri wa kimawazo...
Tarehe 28, Aprili 2015 ndio tarehe rasmi iliyotangazwa LG G4. Specifications peke yake hazitoshi kusema kuwa simu itafanya vizuri kwenye maisha halisi. Ila kama ni trend au muendelezo wa LG G2 na...