hivi ni kwanini wakati mwingine unapokua unatumia simu hizi smartphone unakuta mtandao haupatikani na mwenye simu ya kawaida unakuta unapatikana na mko sehemu moja nikwanini!
Habari zenu wanajamvi,
Natumia simu aina tajwa hapo juu lakini tatizo lake ni kupata joto wakati inatumika kuongea na mtu kwa simu mda mrefu, kuchat message au kama kutumia internet au hata...
Salam kwenu mandugu,nina laptop yangu huwa nikidownload document inakubali,lakini nikidownload video huwa hainiletei window ya kusave au kuwatch later..nilimtafuta it flani akaniwekea IBM lakini...
Naomba mwenye ufahamu wa kuiboot /hard reset tablet yenye mfumo wa kichina anipe msaada
Simu ni intex ibuddy connect
Model iT-ICONNECT
S/W:I buddy-connect-v1.2
H/W A760G-MAINBODY-V2 2.0
SAR...
Habari zenyu wakuu.. Hili Swali langu linalenga Devices za Androids.
Nafahamu Kuwa unaeza ukafanya Teathering n turn your phone into a wifi hotspot sasa SWALI langu ni kwamba JE inaezekana...
Habari ndugu, I've been using a Lexus IS200 Sportcross (sawa na Altezza Gita) for the past two years, now I'm kind of fallling in love with the wagons.
Sasa nafikiria upgrading to BMW 3 series...
DU HACKERS NI NOMA! JARIBUNI KUFUNGUA WEBSITE YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU Hacked By GeNiuS-JorDan muone walichofanya hackers!
Wamehack hiyo site na kuacha majina yao na contacts zao na bendera( i...
Window 10 ya mwisho HAKUNA Window 11
Microsoft to stop producing Windows versions - BBC News
Windows 10 is going to be the last major revision of the operating system.
Jerry Nixon, a Microsoft...
Hapari wakuu, ninataka kufunga VIOP nyumbani kwa kutumia linux as my PBX server kwa kuwa sitatumia gharama nyingi.
Kama kuna mtu ana ufahamu zaidi wa VIOP setup ambayo ni cost effective tupeane...
Naomba kushauriwa kuhusu jambo hili. ninalo group kule facebook lenye member zaidi ya elfu kumi na kila siku ninaongeza takriban wanachama mia moja. nawezaje kunufaika kibiashara na hili group?
Nime download application ya ku run android app kwnye PC inaitw bluestack. Lakini niki anza ku install app ya android kwny pc ina fail je tatzo ni nini!
Waungwana wa jukwaa hili, Hamjambo wote?
Nionavyo, jiji la dar linahitaji mapinduzi makubwa ya kiteknolojia kwenye eneo la usafiri wa barabarani. Watu wa dar wataishi na foleni mpaka lini...