Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wakuu, Nina Nokia E51 huwa natumia kwa Internet na huwa natumia kwa laini ya Airtel. Sasa juzi wakati natumia ghafla mnara wa network ukapotea wote kwenye simu kukawa peupe hakuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Avira AntiVir Premium Avira has had a pretty good track record and its free antivirus continues to be one of the most preferred amongst the horde of free antivirus programs. So how does the...
3 Reactions
18 Replies
8K Views
Nina tumia simu angu huawei Y330 tatizo ni kwamba nikiweka line ya Tigo iwe inatumika katika internert halafu nikaweka 3G badala ya E ina niletea H au H+ sasa nikiweka voda hainiletei H wala H+...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Huwanakutaga sana neno java ktk simu nyingi zisizo na touch.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nahitaji kujua mawasilano ya mke wangu yanayofanyika kwenye simu yake ya mkononi, yaani akitumiwa message kwenye simu yake iingie na kwenye simu yangu, pia akipigiwa simu na mtu mwngne simu iweze...
0 Reactions
28 Replies
28K Views
Habari za muda huu ndugu wadau kompyuta yangu ina tatizo la window inasemekana BIOS ina password ina sababisha kupiga window mara tatu tu. Baada ya hapo inakuwa inashindwa kuwa mpaka nitoe disc...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
habarini za leo wadau. naombeni msaada wenu wadau mnisaidie nifanye setting ya namna gani ilia kuzuia adds zinazojidisplay kwenye cm yangu ya tecno m5. yani ukiiunlock tu adds zinaanza hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini..... Kunawatu huwa wanashindwa kushusha media instagram Kama Photos na Videos.. Wengine wanachukua screenshot badala ya kupata Media halisi Kuna watu wengine wanapata shida mpaka watumie...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau ninaomba msaada wa jinsi ya kuifanya simu yangu galaxy s4 at&t iweze kutumika kama hotspot, natanguliza shukran
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina smartphone aina ya Huawei Y530 inafanya kaz vizur lakini tatizo lake ni kwamba inani'allert kwamba storage space haitoshi ilhali kuna km 800mb free. Nikitaka kuupdate au kuinstall app mpya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu? Naombeni msaada wenu, nimeuziwa simu aina ya sony experia v3+, aliyeniuzia alikuja na vifaa vyake vyote kwa sababu niliiagiza tu. Sasa cha ajabu kila nikijaribu ku-install...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je! Ni application gan nzuri ya ku dowload picha kwenye instagram?
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Ile offer ya airtel ya TELEZA imepelekea watu kuamka asubuhi na mapema hata kwa wale wanaochelewa makazini na uzuri leo walichelewa kukata na zikapita kama dk 40 za mda wa kawaida...
0 Reactions
1 Replies
796 Views
Nilinunua simu ya startime ya 129000 zile simu zina tatizo la kujitoa memory card ikiwa simu ipo on..uzuri wenyewe wanajua maana nilipoirejesha walijua tatizo na wakaomba niiache...tatizo langu...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Wadau za mda huu.Natumai muwazima. Ndugu zangu naombeni mnisaidie jinsi ya kudownload video kutoka U tube kwan kuna video ya muhimu sana kwa shughuli zangu ila ndo ivo siwezi.Simu nliyonayo ni...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Msaada kwa mwenye ujuzi wa ku-root simu tajwa hapo huu nimejaribu app kama 1) FRAMAROOT 2) KINGROOT 3)TOWELROOT lakini imeshindikana
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habar zenu wakuu watu wengi huwa tunapenda kuchukulia kawaida tunapopata ujumbe wa ku updates software na kudhani hakuna umuhimu wowote si hivyo ku updates software kuna umuhimu mkubwa kwa kifaa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello wana-jamvi, naombeni mawazo katika hili Nilinunua kiwanja huko Pugu kinyamwezi, nikajenga kajumba kangu kwa kuunga unga, kwa sababu uwanja wenyewe ni mdogo, shimo la choo (septic tank)...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu tablet yangu nikiweka line internet inakuwa slow mno nashindwa hata kufungua page ya internet. Tatizo sio line sababu natumia vodacom na hapa nilipo vodacom ipo faster. Nimejaribu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
It is the first time hapa..in JF Habarini wakuu Kama uko interested kutumia 2 whatsapps with different numbers At first ilikua easy sana...kuna developer aliimodfy official Whatsapp akaimod kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…