Huawei Y530 inakera

Huawei Y530 inakera

Cardinal06

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
963
Reaction score
327
Nina smartphone aina ya Huawei Y530 inafanya kaz vizur lakini tatizo lake ni kwamba inani'allert kwamba storage space haitoshi ilhali kuna km 800mb free. Nikitaka kuupdate au kuinstall app mpya inasema free up some memory. Hili suala nimeshindwa kujua nifanyeje. Wataalam naamin mpo huku mnipe ushauri. Maana nna nyundo hapa jirani......nnachotaka kuifanyia sio lazma nikitaje hadharan.

Tafaadhal
 
Mkuu pole sana....mm mwenyewe natumia hiyohiyo aina ya Simu,mwanzo nikawa na tatizo kama lako .nilichofanya ni kutafuta memory card ya 4gb then storage zoote nikaamisha from internal to external tatizo likawa limekwisha mkuu....napenda simu hii coz inakaa sana na charge ukilinganisha na smart zingine...over
 
kweli kabisa usemayo.
 
Ngoja nijaribu......nitakupa mrejesho wa kitakachotokea
 
Mkuu pole sana....mm mwenyewe natumia hiyohiyo aina ya Simu,mwanzo nikawa na tatizo kama lako .nilichofanya ni kutafuta memory card ya 4gb then storage zoote nikaamisha from internal to external tatizo likawa limekwisha mkuu....napenda simu hii coz inakaa sana na charge ukilinganisha na smart zingine...over

Sorry mkuu.Unahamishaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom