Njaa
JF-Expert Member
- Dec 6, 2009
- 1,022
- 412
Hello wana-jamvi, naombeni mawazo katika hili
Nilinunua kiwanja huko Pugu kinyamwezi, nikajenga kajumba kangu kwa kuunga unga, kwa sababu uwanja wenyewe ni mdogo, shimo la choo (septic tank) nikaamua kujenga kwa mbele ya nyumba (ndani ya uzio). Sasa tatizo ni hili:-
Maeneo yale, water table ipo juu sana, hata kipindi cha kiangazi maji yapo karibu sana. Kipindi hiki cha mvua, maji yalipanda hadi yakasabisha uchafu kurudi kwenye chambers na hata ndani ya nyumba. Je hapo nifanyeje? Kuna mtu alinishauri kuwa nitumie zege pande zote (kusakafia) pamoja na floor. Lakini hili wazo naona ni hatari sana maana nitatakiwa kunyonya maji mara kwa mara (costs).
Najua ground water direction, wahandisi na wajenzi hebu nipeni wazo please.....
Nawakilisha