Msaada: Tatizo la weak internet signal kwenye tablet yangu, samsung tab 3 p5200

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,776
Reaction score
2,556
Wakuu tablet yangu nikiweka line internet inakuwa slow mno nashindwa hata kufungua page ya internet. Tatizo sio line sababu natumia vodacom na hapa nilipo vodacom ipo faster. Nimejaribu kubadilisha settings kwa kuweka 3g bado ipo slow, msaada plizz tatizo linaweza kuwa nini.
 
unamaanisha ukitumia wifi inakuwa faster? Basi tatizo linaweza kuwa APN settings especially pale kwenye proxy (inatakiwa iwe NOT SET). je? ukiweka 3G inakubali kubaki 3G au inabadilika
 
ahsante mkuu kwa moyo wako wakutaka kunisaidia,kuna jamaa angu kashanirekebishia.kanambia tatizo lilikuwa ni hapo hapo kwenye apn settings
 
Back
Top Bottom