Kowalski JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 348 Reaction score 111 May 26, 2015 #1 Msaada kwa mwenye ujuzi wa ku-root simu tajwa hapo huu nimejaribu app kama 1) FRAMAROOT 2) KINGROOT 3)TOWELROOT lakini imeshindikana
Msaada kwa mwenye ujuzi wa ku-root simu tajwa hapo huu nimejaribu app kama 1) FRAMAROOT 2) KINGROOT 3)TOWELROOT lakini imeshindikana
costerntine Senior Member Joined May 5, 2013 Posts 172 Reaction score 27 May 27, 2015 #2 Tafuta software yake kwa google files za hiyo cm maana apps za kuroot siobure zinalipiwa
Ngachuro Senior Member Joined May 25, 2015 Posts 119 Reaction score 20 May 27, 2015 #3 Hiyo Kingroot umedwnload latest version??
Kowalski JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 348 Reaction score 111 May 27, 2015 Thread starter #4 Ndiyo 4.1
Ngachuro Senior Member Joined May 25, 2015 Posts 119 Reaction score 20 May 27, 2015 #5 Jaribu VROOT mkuu
U ujerumani Senior Member Joined Jan 31, 2015 Posts 125 Reaction score 86 May 27, 2015 #6 Jaribu hi I. Google framaroot 1.6.0 apk download harafu install