hyle master
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 209
- 23
Habar zenu wakuu watu wengi huwa tunapenda kuchukulia kawaida tunapopata ujumbe wa ku updates software na kudhani hakuna umuhimu wowote si hivyo ku updates software kuna umuhimu mkubwa kwa kifaa chako na usalama kwako ku update software kunakusaidia
-ku add new features to the software
-removing out dated features
-updating drivers
-delivering bug fixes
-fixing security holes that have been discovered
sofware vulnerability hii ni weakness ambayo inayopatikana katika software ambayo hackers huweza kutumia nafasi hii kuandika code kutokana na weakness husika na kuweza kutuma malware ambao wanaweza ku harm the software au ku sababisha damage kwa kifaa chako.