Jinsi ya kudownload video U tube

Jinsi ya kudownload video U tube

Msolopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2014
Posts
461
Reaction score
212
Wadau za mda huu.Natumai muwazima.
Ndugu zangu naombeni mnisaidie jinsi ya kudownload video kutoka U tube kwan kuna video ya muhimu sana kwa shughuli zangu ila ndo ivo siwezi.Simu nliyonayo ni HTC inauwezo mzuri tu.Natanguliza shukrani
 
Wadau za mda huu.Natumai muwazima.
Ndugu zangu naombeni mnisaidie jinsi ya kudownload video kutoka U tube kwan kuna video ya muhimu sana kwa shughuli zangu ila ndo ivo siwezi.Simu nliyonayo ni HTC inauwezo mzuri tu.Natanguliza shukrani

Nenda google search kitu inaitwa Tubemate.
 
Ingia operamini nenda youtube kwa video unayotaka kudownload ukisha load nenda kwa url futa www.youtube.com/ertggjyt isomeke hivi ssyoutube.com/eryhjkj yaani futa www. Uweke ss then load tena utaona link ya kudownload na format zake
 
Ingia Google search videoorder ni application nzur sana haina haja ya kucopy url wala nn unaserch video hpo hpo una download pamoja na resolution unayoitaka
 
Hyo app haipo playstore yy so had usearech Google
 
Wadau nawashukuru kwa msaada wenu nimefanikiwa.Mungu awajali kama mlivonijali.Jioni Njema.
 
Na video za kwn blog vp nazo inawezekana kudownload kwenye simu?
 
Kupitia uzi huu nami leo nimeweza kujua namna ya kushusha vitu frm Yuu tyubu
 
Back
Top Bottom