Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
Karibu katika huu uzi ambao programmer wa tz tutasikiliza shida za watz wenzetu then tutaorganize group kutengeneza open-source and free solution karibuni
Tunaweza sema Blackberry imerudi tena Kwa mwaka 2026 🫣 lakini Kwa namna nyingine unajua kwanini??
Kampuni kubwa ya kutengeneza simu zenye muundo wa batani Kwa ajili ya smartphone kama ilivyo...
Kwa budget hiyo nitapata simu ya aina Gani nzuri yenye camera ang'avu quality, betri yake itakayokaa na chaji muda mrefu, na storage yake capacity nzuri
Mambo vipi wadau
Leo tena nimekuja na design nyingine ya simple ecommerce app kwa kutumia flutter,App hii ni ya mfano tu, haina backend halisi , hivyo data zote ni dummy. Lengo langu ni kuonyesha...
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kauli kama “Unaweza kutengeneza mamilioni ukiwa nyumbani” zimekuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ukweli ni upi? Je, kila mtu anaweza kweli...
Kwanza tuelewe kitu kimoja kuhusu PrSM (Precision strike Missile)
Israel aliua viongozi wa juu wa kijeshi wa iran na hii sio kitu cha ajabu mana ni mpango wa US,
kwanini nasema ni mpango wa US...
Hatari Wana jukwaa
Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwenu.
Ninahitaji kuwa na app ya kukopesha pesa mtandaoni lakini sijui ninaipataje, ninafahamu hum Kuna wataalamu WA Kila kitu...
Unajua app ya message uliyonayo inaweza kufanya jambo zaidi ya unavyofikiria kabisa ? Kuna mambo mengi ya siri unaweza kuyafanya kwenye app yako ya Message ambayo hukutegemea kabisa.
5️⃣ Message...
Watu wengi hawalijui hili!
Utashangaa kadiri unapozidi kufuta vitu kwenye simu yako (Picha/ Video? na ukiamini kuwa umefuta permant kwasababu ulifuta hadi kwenye recycle bin ila simu inapungua...
Laptop Gani Inafaa Kazi Yangu ?
Kwa Nini Swali Hili ni Muhimu?
Kila mnunuzi wa laptop anapofika sokoni au anapotafuta mtandaoni hukutana na swali moja kuu
👉 “Laptop hii itaendesha software zangu...
Teknolojia zina shika kasi sana.Kwenye Iphone 17 nimeona mfumo wa setelite ina maana mbeleni kutaweza kuwafanya watu wapate wanachokitaka sehemu yoyote.
Huku kwetu tumeona hii tabia ya kuzima...
Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa...
Time flies.
Tarehe 9 January 2007, Apple walizindua iPhone ya kwanza.
Katika uzinduzi Steve Jobs alisema, “An iPod, a phone, and an internet communicator... These are not three separate devices...
Jinsi ya ku root simu yako ya Android.
Utangulizi:
Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za muhimu, burudani...
Wakuu habari za wakati huu, mwaka mpya unaingia nimrjipanga nianze kufanya issues za Interior Designing mambo ya sketchup so nahitaji pc yenye specs kama hizo hapo chini.
Intel Core i7/i9 or AMD...