Baada ya pita pita zangu katika forum yetu ya Tech, Gadgets & Science nimeona kuna jamaa yangu kajaribu kuelezea faida na hasara za Windows phone. Nami naomba nielezee faida nilizoziona...
Samsung gt-s6102 imegoma kurudi 2.3 gingerbread kwa kutumia odin. Nilifanikiwa kuifanyia rooting na nikapachika 4.4 kitkat ila ile rom sijaipenda nikaona bora nirudishe rom ya kwake sasa imegoma...
Habari zenu wakuu
Naomba kuuliza kwa wale waliotumia nokia lumia!! Je kuna jinsi ya kuchange mpangile wa apps uonekane kama android!! i mean from List view to Grid kaam android inavoonekanaga
Ndugu wana teknolojia,nahitaji kununua moja wapo wa hzo chip kwa ajili ya simu yangu
mwenye nazo tuwasiliane
ni vzuri ukataja na bei
nipo bukoba manispaa
0769027920/0656803210
Habari za jioni wadau nahitaji web designer atae nitengenezea website inayo dili na habari mbalimbali
Unaweza nicheki watsap ili tuongee biashara +258845418066
Habari zenu .....wakuu unajua kuna social network nyingi ambazo tunatumia kwa voice call ..ikiwemo IMO .whatsaap na kadhalika lakini kiupande wangu hii BBM iko poa sana kushinda network nyengine...
Nahitaji msaada simu yangu ni Note II orignal lakini imekuwa programmed kupandisha 2G(Edge) network only wakati ukienda kwenye network options unakuta inaweza pandisha hadi 4G na 3G/ WCDMA ila...
leo nimeanza kureceive notification za jf kupitia tapatalk kuifungua nikakuta inafanya kazi hadi kulogin unaweza, wale wenye windows phone munaweza kudownload tapatalk store then search...
Ni kuhusu music system/ Radio, nimesikia kila Nchi inatumia power supply tofauti tofauti mfano Tz tunatumia 220v, naomba mnisaidie hili nisije nikaingia chaka kuna mziki wameandika "power input is...
Habari zenu wakuu.
Naomba msaada wenu juu ya mada tajwa hapo juu kama inavyojieleza.
Nahitaji kumtumia mtu app ambayo nimei-download toka playstore lakini nimtumie kwa njia ya bluetooth je...
Habari wakuu natafuta hivi vitabu, msaada kwa mwenye navyo
.Python cook book
.Learning python
.Python for data analysis
.Python essential reference
.Python programing an introduction to computer...
Habari zenu wadau naombeni msaada nina simu yangu y530 nikiizima harafu nikitaka kuiwasha yanakuja yale maandishi ya android logo yanayoanza na herufi c na hapo itaseach nahaitafunguka kabisa...
Habar wanatech geeks msaada kwa anaefaham bei na wap ntapata kioo cha samsung galaxy s2 plus Original kwa bei nafuu!Simu yangu imevunjika kioo wino umevujia sion chochote kwa sasa!shukran
Naomba mnisaidie, iPhone yangu inamaliza sana MB Megabytes sijui ndyo iPhone zote au ni ya kwangu tu, kama ni setting naomba mnielekeze nifanye setting, yaani nikinunua Mb700 fasta tu utaskia...