Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hi members, jinsi kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mwenye uelewa jinsi ya kuset mp3 songs as message tones for techno f7 please!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana naombeni msaada wa namna ya kuondoa matangazo kwenye Website, maana nikifungua tu Internet Explorer au Fire Fox, yanajaa matangazo ya games tofauti nyingi, na PC Cleaner mpaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanaojua magari ya Carina T.I hivi hizi Gari kuna zipo model year za 2007 maana mm najua mwisho zipo za 2002 hapa Tanzania nilimsikia mtu akisema zipo. ila ninazo ziona ni hizi 2002 mwenye kujua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
wakuu msaada wenu unahitajika, whatsapp na instagram apps hazifanyi kazi nkiwa na mobile data japo bandwich ya nguvu na yenye kasi inakuwepo ila zinafanya kazi nkiconnect wi-fi...mwenye maujuzi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Samahani wakuu, kama kuna mtu anafahamu duka lolote ambalo ninaweza nikapata betri ya hiyo tablet (Samsung Galaxy tab 10.1) au kama kuna mtu anaiuza betri hiyo tafadhali naomba anifahamishe
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Habari za weekend wana jamvi. Naomba msaada wa kiufundi nina tv yangu aina ya LG led inch 32 (sio smart wala digital) inakata power ukiiwasha. Tatizo lilianzia kwenye sauti miezi kadhaa imepita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya mchana ndugu zanguni? Kuna iphone 5s hapa ya dada yangu katika kuichezeachezea kaizoom sasa anashindwa kufanya lolote, nimeikonekti itunes lakini inasema mpaka aingize passcode...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii ni app rahisi sana kutumia katika kuroot smartphone yako ya Android. ===================================== Kipindi cha nyuma nilishawahi kuelezea katika blogu hii maana ya rooting...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Ninapo clear data ya apps niliyostall kwenye android kuna umuhimu/hasara gani naomba kufaham kwa anajejua
0 Reactions
23 Replies
5K Views
WanaJF, inawezekana vp kupiga simu ya emergence sehemu isiyo na network ya mtandao wowote wa simu. Kwa mfano,unaweza kuwa vijijini, na hakuna network, screan ya simu yako inakuandikia SOS...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari njema kwa watumiaji wa windows phone , leo nimepata update ya whasap call
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu King'amuzi tajwa hapo juu kimepoteza Chanel 10 na TBC1... Naomba msaada jinsi ya kuzirudisha.. Natanguliza shukrani Mzee
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Habarini wadau nimekuwa nikibadili ROM mara kwa mara kwenye sim yangu samsung gt 5301 lakini jana nilipojaribu kuweka rom (alpha rom) simu inaganda kwenye kwenye picha inayoonyesha model na jina...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Osine and Anesi Ikhianosime Vijana wawili wadogo wa Nigeria,Osine Ikhianosime miaka 13 na kaka yake Anesi Ikhianosime miaka 15 walishangaza dunia kwa kugundua Application ya kutumika kwenye simu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Salamu zenu wapendwa, Naomba kufahamu kama simu zifuatazo zinapatika hapa Dar es salaam, duka zilipo na bei. Simu zenyewe ni:- Samsung Galaxy Core Prime Microsoft Lumia 640 LTE HTC One (M8)...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
jamani ee MTU mzima nimeitwa nikamkonectie mama flan jina TV yake flat screen aina hiyo hivyo kijasho kimentoka nimemwambia atafute vitabu ili tujarbu kusoma labda, maana mi mwenyewe nimezoea TV...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndg wanajf simu yng aina ya Tecno P5 ninapopiga simu, call haiend na ninapotuma sms pia haziend. Pia nisipogusa(touch) kioo kama nilikuwa naitumia inapoteza mwanga(inasleep) lkn inaendelea...
0 Reactions
5 Replies
927 Views
HAbar zenu wadau naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kupata display ya htc one m7 mana yangu imenidondoka na kioo kimepasuka ila tachi inafanya kazi kama kawaida jee ninaweza pia kupata na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar zenu wandugu: Nina pc yangu kwa mda wa mwezi mmoja sasa, niliweka window 8 software, lakin kwa mda wa wiki moja sasa imekuwa ikiniambia "ACTIVATE WINDOWS" 'go to pc settings to activate...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…