Habari wana JF..
Naomba msaada kwenye simu yangu....
Ijumaa Iliyopita Nilijiunga Kifurushi cha chuo,, Ijumaa hiyo hiyoo nikajiunga kifurushi cha whatsapp ambacho kinatolewa na tigo ambacho...
Habari wadau,
Nimepatwa na mtihani kwa Flash yangu iliyokuwa na mafile muhimu sana, imebadilika maile ya Microsoft Word na kuwa chk file. Sababu ya kuwa hivyo niliingiza Flash ktk Computer yenye...
Jambo limelonifanya nilete uzi huu ni kutokana na ukweli kwamba wengi wetu tunatumia vifaa mbalimbali bila kufaham kwa undani mechanisms behind them.
Hapa tunapata nafasi ya kutosha kabisa ili...
For those having android devises you can watch good channels over 400 channels here on
Download this apk
Please download this APK
http://www.leadcool.net/download/MXPlayer.apk...
habari zenu wanatechnology ninaomba msaada wenu wa namna gan ninaweza kuset upya frequency za kwenye dish. kwan kwa hivi sasa ninashika channel tatu tuu yaan ITV,CHANNEL 5,CAPITAL na Mara moja...
Habari zenu?sio siri hii kitu naitafuta sana yani kwa udi na uvumba,mtu yeyote kama ataweza nisaidia kupata pro evolution soccer 4 ya pc atakuwa amenisaida sana.mwaka 2004 hizi mpya mpya sijui...
HABARI wanaJF..nahitaji kujua kwa mwenye kujua wapi ntapata mwalimu wa uhakika anayefundisha JINSI YA KUFLASH SIMU AINA ZOTE?..ada tsh ngapi?na unafuzu kozi baada ya siku ngapi?ASANTENI
Habar za mda huu wakuu Naombeni mnisaidie kwa hili tatizo langu kwnye simu hii ya Tecno M3 pale ninapoichomeka chaj inakaa dakika 5 inazima alaf inaanza kuonyesha sign ya kuingiza chaj pale...
Napoingia Facebook nikitaka kusoma habari ambazo zinapostiwa na blog mbalimbai huwa yanajaa sana matangazo kiasi kinachosabisha nisome kwa shida. Je nifanyaje ili matangazo yasiziwie nachokisoma...
Naomba kuuliza hivi ukireset phone hairudi katika hali ya kawaida mfano mwanga unafifia, haitaki kufungua play store. Mwenye wazo jinsi ya kuirudisha katika hali ya kawaida.
Habarini wana Jamii Forum
Mimi nina bajeti ya laki mbili mpaka laki mbili na nusu na nahitaji kununu smartphone, sasa naombeni ushauri wana ndg ni nunue simu gani?
Alafu nasikia kuna tecno boom...
Nimesikia leo bungeni Jeshi la zima moto wanakifaa ambacho wana connect kwenye simu zao, mtu ukipiga simu zima moto kina display info zako zote kama jina na location ulipo so kama wewe ni wale...
Wadau natumia window 8, lakini ghafla windows defender imestop n nikijaribu kuistart up inapotea bila kuwa active. Naombeni msaada juu ya hili.
Natanguliza shukrani!!!!!!!!!!!
Kwa wale ambao ni wapenzi wa sayansi na technologia, unaweza kutembelea hii website Solar Impulse RTW - 8th Leg from Nagoya to Hawaii ambapo utapata habari, in real time, kuhusu ndege...