Naomba kuuliza hivi ukireset phone hairudi katika hali ya kawaida mfano mwanga unafifia, haitaki kufungua play store. Mwenye wazo jinsi ya kuirudisha katika hali ya kawaida.
Haiwezi kuingia playstore unachotakiwa ni kuiunga upya kwa kutengeneza email na kuhusu mwanga nenda kwenye setting tafta diplay utakuta namna ya kuongeza mwanga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.