poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Habari wadau,
Nimepatwa na mtihani kwa Flash yangu iliyokuwa na mafile muhimu sana, imebadilika maile ya Microsoft Word na kuwa chk file. Sababu ya kuwa hivyo niliingiza Flash ktk Computer yenye Virus ambapo file zote zikawa ktk namna ya Shortcut kuna mwenzangu mmoja alipojaribu kuScan ktk computer yake file zote zikageuka kuwa ktk chk file.
Hapa nimechanganyikiwa sina namna ya kurudisha mafile kama awali. Naomba msaada wenu namna ya kuyafanya yawe kama zamani.
Natanguliza shukrani.