Msaada kwenye simu yangu

Msaada kwenye simu yangu

whitedoug3

Senior Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
108
Reaction score
26
Habari wana JF..
Naomba msaada kwenye simu yangu....

Ijumaa Iliyopita Nilijiunga Kifurushi cha chuo,, Ijumaa hiyo hiyoo nikajiunga kifurushi cha whatsapp ambacho kinatolewa na tigo ambacho unatumia whasapp week nzima kwa 1000/=.. Kutokana na matumizi yangu ,, MB za kifurushi cha Chuo Zimekata leo asubuhi.. Nikaamua kujiunga kifurushi cha MegaBox Ambacho Wanatoa MB 180 kwa sasa.... Jioni saa Kumi na Moja tukawa na discussion na wanafunzi wenzangu,, Nikisurf ,internet inagoma... nikajua sina MB za kutosha,, Kuangaliaa Naona Nina MB 98 lakini nikisurf still matokea yaleyale..... nikajaribu pia hata whatsapp maana kifurushincha whatsapp bado ninacho,, lakini hata whatsapp text haziendi..... nikawasha simu nikazima still no hopes... nikajaribu kuingia internet.org naona imekubali.... ikabidi niingie jf wataalamu wanisaidie...
Sijui Tatizo ni simu Yangu Au ni network ya tigo,, lakini nimewapigia customer care still no hopes...
NAOMBA MSAADA WATAALAMU
 
tigo walikua na tatizo la internet kuanzia juzi usiku huku kwetu, jana tumepewa mb 50 bure, sijui huko kwenu ni vipi. kama ni tatizo linatokea kwa muda basi ni mtandao wa simu ndio una matatizo
 
tigo walikua na tatizo la internet kuanzia juzi usiku huku kwetu, jana tumepewa mb 50 bure, sijui huko kwenu ni vipi. kama ni tatizo linatokea kwa muda basi ni mtandao wa simu ndio una matatizo

Kinacho nipa mashaka why hii internet .org inakubali bila matatizoo... na nimewapigia huduma kwa wateje tena wanadai hakuna tatizo la mtandao.. wanadai nizime simu niwashe...
nimeshafanya hivoo zaidi ya mara tatu...!!!
 
Sometime kama ukitoa line setting za internet zinavurugika hebu zicheki, hio internet .org Ni app au unabrowse kwa browser ya kawaida
 
Back
Top Bottom