Rahma Nyusi
Member
- Jun 3, 2015
- 73
- 9
Habarini wana Jamii Forum
Mimi nina bajeti ya laki mbili mpaka laki mbili na nusu na nahitaji kununu smartphone, sasa naombeni ushauri wana ndg ni nunue simu gani?
Alafu nasikia kuna tecno boom J7 hivi hii simu vipi haisumbui kweli?
MSAADA WENU PLEASE