Msaada Tecno M3 kuzima na kuwaka pale ninapoichomeka chaji...

Msaada Tecno M3 kuzima na kuwaka pale ninapoichomeka chaji...

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
239
Reaction score
131
Habar za mda huu wakuu Naombeni mnisaidie kwa hili tatizo langu kwnye simu hii ya Tecno M3 pale ninapoichomeka chaj inakaa dakika 5 inazima alaf inaanza kuonyesha sign ya kuingiza chaj pale uzimapo sim alaf inajizima ten na kulud ten hvyhvy kma mwanzo ni kuzima na kuwaka mda wote

Au mda mqingine unaweza ukaiweka ikazima alaf ikaonyesha imejaaa na ukiiwasha inaonyesha zero chaj

Nikitaka nichaji mpaka sim ijae basi nichexee gemu mpaka ijae hapo haitozima. Kwa kifupi inajaaa bila kujizima kama nikiwa nachaji huku nacheza gemu au nasikiliza mziki

NOTE
Kutumia huku nachaji nimeanza kufanya hvyo baada ya kuona tatizo
Hii tecno M3 ipo rooted mwaka wa Pili sasa
sijawahi muidondosha wala kuisababishia Virus

Nawasilisha...

naombeni msaada wenu juu ya tatizo hili
c.c Mkwawa na wengine wote wenye kujua utatuzi wa Tatizo hili
ASANTE.
 
Hujaongelea kuhusu charger kabisa, vipi umewahi badirisha charger?
 
jaman nami msaada wa tecno m3 kujiwasha internet. nkiizma tu baada ya muda inajiwasha
 
MKuu jaribu kuweka kitu mwishoni mwa betri kama kikaratasi hivi ili betri isiwe loose maana hata mm mwanzo simu ya huawei y530 ilikuwa inafanya hivyo hivyo nikajua ndio ishakufa na ilianza hivyo baada ya kubadili tu line mpaka leo hii mwishoni mwa betri lazima niweke kikaratasi ili betri iweze shika vizuri .

nakingine jaribu kuangalia betri yako kwenye vile terminal za betri zaweza kuwa kuna uchafu hivyo safisha ikiwa pamoja terminal za kwenye simu.

hayo maelezo yaweza kuwa sio tiba ya matatizo ya simu yako hayo ni ya kwangu ambayo niliipa tiba simu yangu yenye ugonjwa kama wako
 
Mkuu Asante sana ngoja nilifanyie kazi swala hili alaf nitalejesha majibu kwako shukrani sana ....
 
chager yako mbovu nunua mpya

Kaka nilibadilisha chaji na nikatumia chaj nyingie ya tecno lakin hali ikawa vilevile alaf kma chaji mbovu mbna nikichaji simu ya mtu mwingine inajaaa bila wasiwasi yan bila kuzimaaa apo ndo huwa napata maswali naomba msaada wako kwa njia nyingne mkuuu .... lkn chaji kiukweli ni nzima had ssa nimetmia chaji tfauti kama tano lkn bado
 
jaman nami msaada wa tecno m3 kujiwasha internet. nkiizma tu baada ya muda inajiwasha

Kaka inawezekana umetick sehemu ya ya ACCESS LOCATION yani simu yako iwe inajiaccess na kutambua mahali ulipo jaribu kutoa sehem zote zenye kuruhusu access to location #all kwenye sim na Apps..
 
Back
Top Bottom