Msaada namna ya kupata Redeem code ya Play Store

Ole-Tariq

Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
29
Reaction score
13
Naomba kujuzwa namna ya kupata Redeeming code ya PLAY STORE ya Samsung S4, nahitaji
ku-restore apps kwenye simu yangu... Thnx in Advance!
 
Labda sijakupata vizuri kwani redeem ndo inatumika kurestore apps?
 
Naomba kujuzwa namna ya kupata Redeeming code ya PLAY STORE ya Samsung S4, nahitaji
ku-restore apps kwenye simu yangu... Thnx in Advance!

Nnacho jua nikwamba endapo umereset simu yako utaingia na Gmail account yako na utaweza kudownload apps ulizokuwa nazo tena, hata kama ulinunua hutolipa yena maana account ni hile hile
 
Like that
 
Attachments

  • 1435764576969.jpg
    1435764576969.jpg
    37.5 KB · Views: 168
Back
Top Bottom