Msaada: Nikiingia facebook, matangazo yamejaa

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
4,911
3,080
Napoingia Facebook nikitaka kusoma habari ambazo zinapostiwa na blog mbalimbai huwa yanajaa sana matangazo kiasi kinachosabisha nisome kwa shida. Je nifanyaje ili matangazo yasiziwie nachokisoma kama hivyo uonavyo kwa picha
 
Attachments

  • 1435741163881.jpg
    1435741163881.jpg
    37.7 KB · Views: 166
mmm labda hamishia hili swali jukwaa la Tech, Gadgets & science
 
Napoingia Facebook nikitaka kusoma habari ambazo zinapostiwa na blog mbalimbai huwa yanajaa sana matangazo kiasi kinachosabisha nisome kwa shida. Je nifanyaje ili matangazo yasiziwie nachokisoma kama hivyo uonavyo kwa picha

Tatizo ni kwa Wamilik wa hivi viblog Wana njaa sana mpaka wanashindwa kuwajali wasonaji wao yaani Wananikera sana Na hapo hunajinsi maaana kwa jinsi walivyoweka haya matangazo hauwezi kuyatoa. Chamuhimu habari kama hizo unaachana nazo maana utakuta kichwa cha habari na habari yenyewe ni tofauti lengo ni uclik hayo matangazo ili watengeneze pesa.
 
Napoingia Facebook nikitaka kusoma habari ambazo zinapostiwa na blog mbalimbai huwa yanajaa sana matangazo kiasi kinachosabisha nisome kwa shida. Je nifanyaje ili matangazo yasiziwie nachokisoma kama hivyo uonavyo kwa picha

Mkuu huyu ni virus...na nimesahau jina lake...na anashambulia sana firefox...google chrome...kuna ant virus unaeza eka..ila njia rahis ni ku uninstal hiyo web browser then i install tena!! hasa kama ni firefox au chrome!!
 
Natumia browser ya Google chrome na Ucbrowser zote ni hivyo ivyo
kama ni ucweb activate speed mode au tumia opera kabisa uone kama yatatokea.

-yakitokea ujue ni malware kuna app ipo ndani ya simu inakuchezea
-yasipotokea ujue ni hizo blog zako ndo zenye matangazo.

solution?
jaribu kutumia browser inayoblock ads kama nochromo
 
Upo facebook.com? Au umefuata link ya blog umetoka nje ya facebook? Facebook hawana matangazo ya aina hayo. Pia kwanini usijaribu kutumia app ya facebook badala ya browser.
 
Back
Top Bottom